Kumbe wengi tumeshindwa kumalizia huu uchafuNitakuja kumalizia baadae kusoma...
Hv hizo ni sawa na dollar ngapi?Noop, my Price Tag is Dadii.
Hhahahahahaha usiniambie unamfahamu Dadii, umemjulia wapi....... hehehehhee vile alivyo chinichini hata huwa haonekani zaidi ya ku like na kupita kimya kimya hehehehhehe karibia majukwaa yote..
Ila hapo kwenye titi uko sahihi anapenda sana hayo makitu....
Dadii ni muafrika tena mtanzania halisi hivo sina wasiwasi kwa wadada kama wewe lazima ageuke akili isimame kidogo ndo tuendelee na maongezi. Eeeehhh ngoja ninyamaze nisije finywa na kung'atwa juu hehehehhehe
Furahia maisha mwaya, we live once but if we live wisely and smartly once is enough.
Hv hizo ni sawa na dollar ngapi?
Khaaaa! kasie mahabat, umenifanya nirudi mbio mbio kuangalia mishumaa inavutia kwakweli,, hv a happy merry Christmas n prosperous new year.Mleta mada, aka DaJane pole kwa yalokusibu.
Nje ya mada, naweza kupata wapi hiyo mishumaa kwenye avatars yako. Nataka niitumie kwenye keki ya Valentine 2019.
Kurudi kwenye mada, ujue kati ya ID zinazokufata za kiume nyingine za kike. Uzoefu wangu mie, wamwkuja wengi tuu na kule nawapa ukweli wangu wote na kama wana screenshot shauri lao sababu wote wanaokuja jibu ni lilelile..... Euro 900 na kuendelea....
Hiyo mishumaa tafadhalinaihitaji sana, napenda sana kuchezea zile goroli.... Hehehehhee.
Mnaonekanaga tu...Umejuaje yote hayo Kama hujawahi mfata pm?
hahhahaa mie mhenga sisy..mie sio wa 90 ujue😊😊uhenga raha....sijui hy nilijuaje tu kwakweli..naipenda couple yenu mpo smart ila dadii naye mtata saa Ingine😉...!be blessed
Khaaaa! kasie mahabat, umenifanya nirudi mbio mbio kuangalia mishumaa inavutia kwakweli,, hv a happy merry Christmas n prosperous new year.
AmenHhahahahahahaha Mtata kama Kasie.....
I give Glory to God for what is in my table kwakweli.
Kasie.
Wanaonekana vipi? Yanayozungumzwa yapo inawezekana wewe sio muhusika. Umereact km vile inakuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]Mnaonekanaga tu...
Wanawake wabaya ,waloshindwa...huwa sifa zao niizo nilizoandika.
Bora nikajenge nyumba ya kupangisha[emoji470][emoji470]You can't even exchange it cause the price is too high.
The price tag is priced Mahaba yote kwa Dadii, can you exchange that to any currency and come up with a figure...!!!??
Bora nikajenge nyumba ya kupangisha[emoji470][emoji470]
DaJane tuheshimiane tafadhali, usipende kutujumuisha wanaume wa ukweli na kuku wa kizungu (wanaume wa Dar), kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya kuku za kizungu na kuku asilia.
unajua wengi hamjamuelewa huyu dada..kuna wavulana anakesha pm kwako..bas liwepo la.maana hakuna...salam na yy yeye na salamu... kwann usisalimie asbh na mchana ukamtakia mchana mwema ? inakera sana ...tena sana...mwingine anakuambia nakufatilia kila nachocomment khaa ili iweje kwa mfano?..punguzeni bas
By killing their husbands.How do you make someone a widow....!!? Please if you don't mind.
Ungeniambia Mimi €900 ningekupa lakini ukanipiga cha mbavu nikashindwa hata kuinuka!Mleta mada, aka DaJane pole kwa yalokusibu.
Nje ya mada, naweza kupata wapi hiyo mishumaa kwenye avatars yako. Nataka niitumie kwenye keki ya Valentine 2019.
Kurudi kwenye mada, ujue kati ya ID zinazokufata za kiume nyingine za kike. Uzoefu wangu mie, wamwkuja wengi tuu na kule nawapa ukweli wangu wote na kama wana screenshot shauri lao sababu wote wanaokuja jibu ni lilelile..... Euro 900 na kuendelea....
Hiyo mishumaa tafadhalinaihitaji sana, napenda sana kuchezea zile goroli.... Hehehehhee.
By killing their husbands.