Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Hhahahahahaha usiniambie unamfahamu Dadii, umemjulia wapi....... hehehehhee vile alivyo chinichini hata huwa haonekani zaidi ya ku like na kupita kimya kimya hehehehhehe karibia majukwaa yote..

Ila hapo kwenye titi uko sahihi anapenda sana hayo makitu....

Dadii ni muafrika tena mtanzania halisi hivo sina wasiwasi kwa wadada kama wewe lazima ageuke akili isimame kidogo ndo tuendelee na maongezi. Eeeehhh ngoja ninyamaze nisije finywa na kung'atwa juu hehehehhehe

Furahia maisha mwaya, we live once but if we live wisely and smartly once is enough.

hahhahaa mie mhenga sisy..mie sio wa 90 ujue😊😊uhenga raha....sijui hy nilijuaje tu kwakweli..naipenda couple yenu mpo smart ila dadii naye mtata saa Ingine😉...!be blessed
 
Mleta mada, aka DaJane pole kwa yalokusibu.

Nje ya mada, naweza kupata wapi hiyo mishumaa kwenye avatars yako. Nataka niitumie kwenye keki ya Valentine 2019.

Kurudi kwenye mada, ujue kati ya ID zinazokufata za kiume nyingine za kike. Uzoefu wangu mie, wamwkuja wengi tuu na kule nawapa ukweli wangu wote na kama wana screenshot shauri lao sababu wote wanaokuja jibu ni lilelile..... Euro 900 na kuendelea....

Hiyo mishumaa tafadhalinaihitaji sana, napenda sana kuchezea zile goroli.... Hehehehhee.
Khaaaa! kasie mahabat, umenifanya nirudi mbio mbio kuangalia mishumaa inavutia kwakweli,, hv a happy merry Christmas n prosperous new year.
 
Hhahahahahahaha Mtata kama Kasie.....

I give Glory to God for what is in my table kwakweli.

Kasie.
 
Khaaaa! kasie mahabat, umenifanya nirudi mbio mbio kuangalia mishumaa inavutia kwakweli,, hv a happy merry Christmas n prosperous new year.

Hhehehehehehehee, mishumaa haiishi kutaka kuiwasha kila saa unazima unaishika unawasha hehehehehehehe hata nikiungua navumilia tuu aahahahahahahhahaahaa.

Thanks for the wishes, and you too enjoy the Festive Season.
 
You can't even exchange it cause the price is too high.

The price tag is priced Mahaba yote kwa Dadii, can you exchange that to any currency and come up with a figure...!!!??
Bora nikajenge nyumba ya kupangisha[emoji470][emoji470]
 
DaJane tuheshimiane tafadhali, usipende kutujumuisha wanaume wa ukweli na kuku wa kizungu (wanaume wa Dar), kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya kuku za kizungu na kuku asilia.
 
unajua wengi hamjamuelewa huyu dada..kuna wavulana anakesha pm kwako..bas liwepo la.maana hakuna...salam na yy yeye na salamu... kwann usisalimie asbh na mchana ukamtakia mchana mwema ? inakera sana ...tena sana...mwingine anakuambia nakufatilia kila nachocomment khaa ili iweje kwa mfano?..punguzeni bas
 
Nimemuelewa na ndiyo maana nimesema asipende kufananisha wanaume wa ukweli na kuku wa kizungu kwani tabia hizo sana sana wanazo vijana na wanaume wa Dar wasiopenda kufanya kazi. Huku mikoani nani anashinda kwenye mitandao kutwa kucha kumfuatilia mwanamke mtandaoni, tena mwanamke mwenye avatar fake?
 
Mleta mada, aka DaJane pole kwa yalokusibu.

Nje ya mada, naweza kupata wapi hiyo mishumaa kwenye avatars yako. Nataka niitumie kwenye keki ya Valentine 2019.

Kurudi kwenye mada, ujue kati ya ID zinazokufata za kiume nyingine za kike. Uzoefu wangu mie, wamwkuja wengi tuu na kule nawapa ukweli wangu wote na kama wana screenshot shauri lao sababu wote wanaokuja jibu ni lilelile..... Euro 900 na kuendelea....

Hiyo mishumaa tafadhalinaihitaji sana, napenda sana kuchezea zile goroli.... Hehehehhee.
Ungeniambia Mimi €900 ningekupa lakini ukanipiga cha mbavu nikashindwa hata kuinuka!
 
Back
Top Bottom