Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Weka bei yko hadharani basi, one night stand, mbele tu.
 
Pale unapokua na kiu ya p**sy.. U can do anything dear..
Mie kinacho ni chosha pm huwa ni I'd mpya za mtongozo had unajiuliza mbona huyu ka namjua Ila new id's
 
Si ufunge PM yako kama hutaki kutumiwa meseji
 
Ile njaa isikie tu hivi hivo.... Unakuwa huna budi inabidi kujaribu kwa njia nyingine cariha...

Ni nature tu msitulaumu sisi bwana..

Na hivi hii ni free platform ambayo mnaweza kujichanganya whyvnot nisije pm cariha? Ukizingatia ni kitendo tu cha kuclick jina lako hapo na kukuzukia
Hahaaaaa kwahyo unajilipua tu
 
Mna tu chosha bwana wanaume wenyewe wa JF hawaeleweki kabisa mambo yao wengine utoto mwingi basi inatia uvivu kuingia jf
 
Huo ndiyo ukubwa kuwa mvumilivu
Wenzako hata salamu hawapati wanashiñda kwa waganga wa kienyeji
 
Mna tu chosha bwana wanaume wenyewe wa JF hawaeleweki kabisa mambo yao wengine utoto mwingi basi inatia uvivu kuingia jf
Ni kweli kwenye msafara wa mamba... Watoto hawakosi.... Na mimi sikulaumu wala siwalaumu.. Bt ni maisha na yatabidi yaendelee tuu iwe tunachukizana au la
 
Mnatokwa mapovu. @Da Jane kawagusa kunako. Alichosema ni kweli mnaboa Sana baadhi yenu. Salamu ndefuuuu halafu niambiee, lete story, mwingine anaanzisha sex chat from nowhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…