Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Inachosha hata kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Weka kanuni hii mamy usijibu pm ya mtu aje kwa salamu au usiku mwema, aje kwa I'd mpya au ya zamani
Mie kinacho ni chosha pm huwa ni I'd mpya za mtongozo had unajiuliza mbona huyu ka namjua Ila new id's
Na mwisho amalizie na OKBonyeza *140*kisha Weka Jina la mtu u aye taka kwenda pm Kwako kisha bonyeza #.
Kwani Kuna ulazima kuitikia salamu ya mtu humuNitafanya hivo
Asante kwa kunikumbusha 🤣👍Na mwisho amalizie na OK
Cheers darling. My regards to Dadii.OK well that you have know.... to act is within your horizon.
Cheers!!
Cheers darling. My regards to Dadii.
Hahahahaha ziimefika pia. Halafu wewe acha uchokoziZimemfikia, nawe zifikishe kwa unconditional one..., usiseme hayupo hehehheee...
Pale unapokua na kiu ya p**sy.. U can do anything dear..
Hahaaaaa kwahyo unajilipua tu
Ile njaa isikie tu hivi hivo.... Unakuwa huna budi inabidi kujaribu kwa njia nyingine cariha...
Ni nature tu msitulaumu sisi bwana..
Na hivi hii ni free platform ambayo mnaweza kujichanganya whyvnot nisije pm cariha? Ukizingatia ni kitendo tu cha kuclick jina lako hapo na kukuzukia
Ni kweli kwenye msafara wa mamba... Watoto hawakosi.... Na mimi sikulaumu wala siwalaumu.. Bt ni maisha na yatabidi yaendelee tuu iwe tunachukizana au laMna tu chosha bwana wanaume wenyewe wa JF hawaeleweki kabisa mambo yao wengine utoto mwingi basi inatia uvivu kuingia jf
I agree with youNi kweli kwenye msafara wa mamba... Watoto hawakosi.... Na mimi sikulaumu wala siwalaumu.. Bt ni maisha na yatabidi yaendelee tuu iwe tunachukizana au la