Ww unatakajeMnatokwa mapovu. @da Jane kawagusa kunako. Alichosema ni kweli mnaboa Sana baadhi yenu. Salamu ndefuuuu halafu niambiee, lete story, mwingine anaanzisha sex chat from nowhere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unatakajeMnatokwa mapovu. @da Jane kawagusa kunako. Alichosema ni kweli mnaboa Sana baadhi yenu. Salamu ndefuuuu halafu niambiee, lete story, mwingine anaanzisha sex chat from nowhere
I agree with you
Kwani we unaonaje?Ww unatakaje
Namaanisha mtu akikufuata pm unataka akwambie nnKwani we unaonaje?
Kwani we unaonaje?
Namaanisha mtu akikufuata pm unataka akwambie nn
Aseme lililomleta. Kuniambia niambie Kila baada ya nusu saa anataka nimwambie Nini, au lete story wakati yeye kakufuata si aanzishe story?Namaanisha mtu akikufuata pm unataka akwambie nn
Aseme lililomleta. Kuniambia niambie Kila baada ya nusu saa anataka nimwambie Nini, au lete story wakati yeye kakufuata si aanzishe story?
Mwingine anakupa namba nicheck WhatsApp..kha! Urafiki unajengwa, mambo ya kupeana namba na picha baadae Sana.
Janajike jinga hili!!
Hili huwezi kuliita mwanamke"Janajike [emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa imekugusaJanajike jinga hili!!
Haku mimi jamani[emoji106][emoji106][emoji106]
Expect me there...
I ll be visiting huko chumbani... [emoji4]
Numbisa nije pm mamy🤣🤣🤣Word!! Uzi bora wa kufungia mwaka
Haku mimi jamani
Na kuja mrembo ila kuja kunianzishia uzi noMbona Mimi sifwatwi pm jomon😱🙄
Mbona Mimi sifwatwi pm jomon😱🙄