Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

Mleta mada, aka DaJane pole kwa yalokusibu.

Nje ya mada, naweza kupata wapi hiyo mishumaa kwenye avatars yako. Nataka niitumie kwenye keki ya Valentine 2019.

Kurudi kwenye mada, ujue kati ya ID zinazokufata za kiume nyingine za kike. Uzoefu wangu mie, wamwkuja wengi tuu na kule nawapa ukweli wangu wote na kama wana screenshot shauri lao sababu wote wanaokuja jibu ni lilelile..... Euro 900 na kuendelea....

Hiyo mishumaa tafadhalinaihitaji sana, napenda sana kuchezea zile goroli.... Hehehehhee.

😅😅😅hongera kwa maandalizi ya valentine aisee...kweli dunia haipo fair..
 
Itabidi tufungue darasa la kufundisha kutongoza hiyo mitoto ya humu.
.
.
Daaaaah kujiita mwanaume huku ukiwa hujui kutongoza nalo ni tatizo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapo wanaujua kutongoza jamani, mpk unajiuliza alikuwa wapi asinitongoze tangu January
 
Back
Top Bottom