Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Si ndo hapo wenyewe tumeamua tuwape maua yapendezayo dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo mbona huna adabu?! Kwanini umefanya kitu cha kishamba kama hiki!! Hata kama ni watoaji we inakuuma au ni nini kimekuwasha?!
Hela za kwako unataka uwapangie matumizi?!! Unless kama ID zote ziwe za mtu mmoja kaja hapa kujipigia pande.
Sent using Jamii Forums mobile app