Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Huku niliadmire wanaume watatu tu.
Wawili ni washkaj zangu huwezi amini na mwingine sijui iliishiaje lakini sijuani nae nje ya JF.
Wewe nitakua nikenekusahau ila hiwezi kuwa dr... 69
Ushanisahau mimi sio Dr kabisa!
 
Asante sana dear.
Mesoma mpaka mwisho sijaona madukuduku kabisaa...

Nawapongeza wanaume wa jf, kiukwelii mmekomaa sasa! Mmekuwa na vifua vikuu.. Huo ndo uanaume.

Hongereni sana!
 
Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Ni wadada au wamamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!
Khan!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jiwe gizani mkuu humu asilimia 90 ya wanawake ni single mother
 
Kwa ufupi tuu mnayo hadhi ya kutumiwa na hela ya kutolea???😳
 
I see. Sio wote bhana! Kuna wengine kama marejesho wazuri tu. Sijajua Demiss yeye anafananaje. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!

Khan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…