Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sijui nakwama wapiii mimii jamani.Yaani sijui hata nani ananificha..... sijui unakwamia wapi lakini kunificha
Mbona najitahidi sana mimii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nakwama wapiii mimii jamani.Yaani sijui hata nani ananificha..... sijui unakwamia wapi lakini kunificha
Hivi kumbe mtu akiwa na sura mbaya ni kero kwa watu!!!Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!
Khan!
Mimi naweza kuwa shuhuda mzuri wa hili.
Ukiona hivyo jua haujanifungulia moyo.Sijui nakwama wapiii mimii jamani.
Mbona najitahidi sana mimii
Moyo wangu nilishakupa siku nyingi saaana!Ukiona hivyo jua haujanifungulia moyo.
😂 😂 😂Tuna ubaya gani kwani?
Hebu angalia tena kwa jicho la pili halafu ututake radhi!
View attachment 1185300
kwanini watoto wanalia??Hivi kumbe mtu akiwa na sura mbaya ni kero kwa watu!!!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣😂 😂 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisemiMimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Naunga Mkono HojaAsilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!
Khan!
Kweli moyo wako unanidai..shurti sasa niulipe.Moyo wangu nilishakupa siku nyingi saaana!
Sema hutaki tuu kuutumia
Without wigAsilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!
Khan!
Demiss ni nini haswa unatutafuta lakini?
Leo ndio tutawajua mafurushi.
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinga kweli.
kama unafanya hip hop wataje Kwa majina au wewe ni mo music?Wanajiita majina fake mazuri, lakini ukikutana nao unaweza ukapiga ukunga
Hebu fanya kama Bwana apendavyoKweli moyo wako unanidai..shurti sasa niulipe.
Kabisa sana bossNaunga Mkono Hoja
Mkuu hata Demiss wako yupo hivyo??Without wigView attachment 1185325
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshana una nini wewe?Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa
Ushauri Kama kuna mwana j.f naye kapitia hili janga maana kuna rafiki angu ana hilo gundu muda sasa kaniomba ushauri hajui afanyaje wakati mimi kila siku napata wapyawww.jamiiforums.com
Haki nimecheka.Muache tumia majina magumu magumu..mdada ukute mzuriiii ila anatumia jina kama huyu hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]
Mtu kama huyo [emoji115][emoji115][emoji115] hata kama nilitaka kukupa hiyo IST naghairi...jina kama mzizi bwana...Waigeni wenzenu kama kina cute b au toto linajiita Beauty Eva au Miss_Irene au miss chagga yani hata kama sura iwe kama tairi mtu unashawishika kuhonga maana Jina tu TAMU... ila nyie wapenda majina mgumu magumu sijui ya babu zenu sijui nani Yarembeni bhasi kidogo kama mwenzenu Beautiful Nkosazana yani japo hilo la mbele sijalielewa ila kalitia swaga kidogo AU huyu anajiita Baby Mwai ....yani swag juu ya swag...Angejiita Mwai aone.
Kuna wale wagumu kuelewa Kwanza Profile zao wameweka masura meusi yasio na ushawishi mfano huyu kiongozi wa kutuita mafurushi Atoto yani sura jeusiiiiii kama King Kong III bwana... huyu mwingine nae sielewagi Profile yake nageuzaga hii PC yangu style zote labda ntaelewa ila nimeshndwa elewa Mzigua90..kuna jimama sjui jimwanamke anajiita eti hii sasa kali hhivi kweli kwa jina hilo mi nakusevuje kwenye simu yangu??
Jamani mnachotutafutia ni kuonekana wanaume wa JF ni mashoga..hivi kweli mimi nachati na mtu namuita baby ila nimemsave Khantwe mtu akiona si atajua hili jamaa linachati na mwanaume mwenzake..Aseeeeee badilisheni majina hayooooo..
Seriously mdada mrembo figure matata sauti mwororo unajiita mahondaw au corasco au gilldenu hivi mko serious?
Na nyie mnaoweka sura za waume zenu sijui babu zenu na angali mnazijua ni ngumu kama soksi za Magu muache....
Ebu mfateni mwenzenu Beauty au Cute lee wawaambie siri yao...Acheni kujitia wagumu ebu...