Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshana una nini wewe?
Hahahaha khaaa imebidi nicheke tu walahMuache tumia majina magumu magumu..mdada ukute mzuriiii ila anatumia jina kama huyu hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]
Mtu kama huyo [emoji115][emoji115][emoji115] hata kama nilitaka kukupa hiyo IST naghairi...jina kama mzizi bwana...Waigeni wenzenu kama kina cute b au toto linajiita Beauty Eva au Miss_Irene au miss chagga yani hata kama sura iwe kama tairi mtu unashawishika kuhonga maana Jina tu TAMU... ila nyie wapenda majina mgumu magumu sijui ya babu zenu sijui nani Yarembeni bhasi kidogo kama mwenzenu Beautiful Nkosazana yani japo hilo la mbele sijalielewa ila kalitia swaga kidogo AU huyu anajiita Baby Mwai ....yani swag juu ya swag...Angejiita Mwai aone.
Kuna wale wagumu kuelewa Kwanza Profile zao wameweka masura meusi yasio na ushawishi mfano huyu kiongozi wa kutuita mafurushi Atoto yani sura jeusiiiiii kama King Kong III bwana... huyu mwingine nae sielewagi Profile yake nageuzaga hii PC yangu style zote labda ntaelewa ila nimeshndwa elewa Mzigua90..kuna jimama sjui jimwanamke anajiita eti hii sasa kali hhivi kweli kwa jina hilo mi nakusevuje kwenye simu yangu??
Jamani mnachotutafutia ni kuonekana wanaume wa JF ni mashoga..hivi kweli mimi nachati na mtu namuita baby ila nimemsave Khantwe mtu akiona si atajua hili jamaa linachati na mwanaume mwenzake..Aseeeeee badilisheni majina hayooooo..
Seriously mdada mrembo figure matata sauti mwororo unajiita mahondaw au corasco au gilldenu hivi mko serious?
Na nyie mnaoweka sura za waume zenu sijui babu zenu na angali mnazijua ni ngumu kama soksi za Magu muache....
Ebu mfateni mwenzenu Beauty au Cute lee wawaambie siri yao...Acheni kujitia wagumu ebu...
Hata ww pm yako umeifunga je unapishana na magari ya mishahara?Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Naomba million 10 mkuu nifanyie biashara
K K sukari, ushawahi kuitumia hiyo ?kama unafanya hip hop wataje Kwa majina au wewe ni mo music?
AiseeeWithout wigView attachment 1185325
Hahaha hivi kumbe jina langu baya eeh?Muache tumia majina magumu magumu..mdada ukute mzuriiii ila anatumia jina kama huyu hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]
Mtu kama huyo [emoji115][emoji115][emoji115] hata kama nilitaka kukupa hiyo IST naghairi...jina kama mzizi bwana...Waigeni wenzenu kama kina cute b au toto linajiita Beauty Eva au Miss_Irene au miss chagga yani hata kama sura iwe kama tairi mtu unashawishika kuhonga maana Jina tu TAMU... ila nyie wapenda majina mgumu magumu sijui ya babu zenu sijui nani Yarembeni bhasi kidogo kama mwenzenu Beautiful Nkosazana yani japo hilo la mbele sijalielewa ila kalitia swaga kidogo AU huyu anajiita Baby Mwai ....yani swag juu ya swag...Angejiita Mwai aone.
Kuna wale wagumu kuelewa Kwanza Profile zao wameweka masura meusi yasio na ushawishi mfano huyu kiongozi wa kutuita mafurushi Atoto yani sura jeusiiiiii kama King Kong III bwana... huyu mwingine nae sielewagi Profile yake nageuzaga hii PC yangu style zote labda ntaelewa ila nimeshndwa elewa Mzigua90..kuna jimama sjui jimwanamke anajiita eti hii sasa kali hhivi kweli kwa jina hilo mi nakusevuje kwenye simu yangu??
Jamani mnachotutafutia ni kuonekana wanaume wa JF ni mashoga..hivi kweli mimi nachati na mtu namuita baby ila nimemsave Khantwe mtu akiona si atajua hili jamaa linachati na mwanaume mwenzake..Aseeeeee badilisheni majina hayooooo..
Seriously mdada mrembo figure matata sauti mwororo unajiita mahondaw au corasco au gilldenu hivi mko serious?
Na nyie mnaoweka sura za waume zenu sijui babu zenu na angali mnazijua ni ngumu kama soksi za Magu muache....
Ebu mfateni mwenzenu Beauty au Cute lee wawaambie siri yao...Acheni kujitia wagumu ebu...
We dada nilivyoona avatar nikajua nipo whatsappHebu fanya kama Bwana apendavyo
Hivi kweli hujaona walivyotukandia sisi wenye sura za baba zetuMesoma mpaka mwisho sijaona madukuduku kabisaa...
Nawapongeza wanaume wa jf, kiukwelii mmekomaa sasa! Mmekuwa na vifua vikuu.. Huo ndo uanaume.
Hongereni sana!
na hii umeionawadada mnapotongozwa na watu wengi wapeni jf member kipaumbele cha kuwakubali sio mnawakubali watu wengine ambao sio member
Nop sio hio!
Muache tumia majina magumu magumu..mdada ukute mzuriiii ila anatumia jina kama huyu hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]
Mtu kama huyo [emoji115][emoji115][emoji115] hata kama nilitaka kukupa hiyo IST naghairi...jina kama mzizi bwana...Waigeni wenzenu kama kina cute b au toto linajiita Beauty Eva au Miss_Irene au miss chagga yani hata kama sura iwe kama tairi mtu unashawishika kuhonga maana Jina tu TAMU... ila nyie wapenda majina mgumu magumu sijui ya babu zenu sijui nani Yarembeni bhasi kidogo kama mwenzenu Beautiful Nkosazana yani japo hilo la mbele sijalielewa ila kalitia swaga kidogo AU huyu anajiita Baby Mwai ....yani swag juu ya swag...Angejiita Mwai aone.
Kuna wale wagumu kuelewa Kwanza Profile zao wameweka masura meusi yasio na ushawishi mfano huyu kiongozi wa kutuita mafurushi Atoto yani sura jeusiiiiii kama King Kong III bwana... huyu mwingine nae sielewagi Profile yake nageuzaga hii PC yangu style zote labda ntaelewa ila nimeshndwa elewa Mzigua90..kuna jimama sjui jimwanamke anajiita eti hii sasa kali hhivi kweli kwa jina hilo mi nakusevuje kwenye simu yangu??
Jamani mnachotutafutia ni kuonekana wanaume wa JF ni mashoga..hivi kweli mimi nachati na mtu namuita baby ila nimemsave Khantwe mtu akiona si atajua hili jamaa linachati na mwanaume mwenzake..Aseeeeee badilisheni majina hayooooo..
Seriously mdada mrembo figure matata sauti mwororo unajiita mahondaw au corasco au gilldenu hivi mko serious?
Na nyie mnaoweka sura za waume zenu sijui babu zenu na angali mnazijua ni ngumu kama soksi za Magu muache....
Ebu mfateni mwenzenu Beauty au Cute lee wawaambie siri yao...Acheni kujitia wagumu ebu...
Hapa ndio penyewe, biashara ya kwenda China inawavutia wengi sana. haya twende kazi toeni pesa acheni ubahili wanaume