Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

[emoji134][emoji134][emoji134]
Hatimaye nimemaliza kusoma dukuduku za wanaume wa jf tunaopata tabu sisi wenye sura mbaya jamani wenye sura za baba zetu woiiiiii
kama mzawa wa kwanza lazima uwe na sura ya baba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mafurushi
 
Halafu tunataka Mkisha tumia ID zenye majina mzuri mwisho mmalizie na Picha zenu..ila kama mna sura mbaya Msijiweke tafadhali...halafu na wewe Demiss wafundishe wenzio kuweka Pcha nzuri kama wewe... hicho kiuno kwenye Pcha hapo ndio kinachotuleta huko PM ila ungeweka tofali uone au sura kama yule anaetuita mafurushi... Hutuji ng'o

Halafu utamu wa mwanamke asimseme mwanaume,muwe wapole Mada tunazowaponda muwe mna comment ki upole upole mambo ya wadada wengine mnatutolea mapovu kabisa sio vizuri...

Mwanamke sharti uwe mpole na mtiifu kama desh desh mnajijua na mimi nawajua.....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
 
Wala wasifungue pesa za mshahara snakula mke wa ndoa na mpenzi rasmi
Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"

Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
 
[emoji134][emoji134][emoji134]
Hatimaye nimemaliza kusoma dukuduku za wanaume wa jf tunaopata tabu sisi wenye sura mbaya jamani wenye sura za baba zetu woiiiiii

Refer picha za ontario alivyowakusanya wanaume wa humu tafuta hizo picha halaf uangalie ndio hawa wanaonanga humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
halafu humu jf kumejaa vibibi.
yaani ni vizee!

natania tu..
 
Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"

Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
Kuna kitu umelenga, maana si kwa location hizi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona umeamua kuchomoa betri harudii tena
 
Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.

Anko,
Nitafutie chuma kizuri basi....
Mimi wahuku naogopa kukutana nao alafu nisikute chombo mwishoe nimpotezee.
Ukinihakikishia hiki chuma, mi nazamaa...
 
Back
Top Bottom