Halafu tunataka Mkisha tumia ID zenye majina mzuri mwisho mmalizie na Picha zenu..ila kama mna sura mbaya Msijiweke tafadhali...halafu na wewe
Demiss wafundishe wenzio kuweka Pcha nzuri kama wewe... hicho kiuno kwenye Pcha hapo ndio kinachotuleta huko PM ila ungeweka tofali uone au sura kama yule anaetuita mafurushi... Hutuji ng'o
Halafu utamu wa mwanamke asimseme mwanaume,muwe wapole Mada tunazowaponda muwe mna comment ki upole upole mambo ya wadada wengine mnatutolea mapovu kabisa sio vizuri...
Mwanamke sharti uwe mpole na mtiifu kama desh desh mnajijua na mimi nawajua.....