Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"


Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisemi
 
Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!

Khan!
Without wig
IMG_20190819_151732.jpeg
 
Muache tumia majina magumu magumu..mdada ukute mzuriiii ila anatumia jina kama huyu hapa chini [emoji116][emoji116][emoji116]



Mtu kama huyo [emoji115][emoji115][emoji115] hata kama nilitaka kukupa hiyo IST naghairi...jina kama mzizi bwana...Waigeni wenzenu kama kina cute b au toto linajiita Beauty Eva au Miss_Irene au miss chagga yani hata kama sura iwe kama tairi mtu unashawishika kuhonga maana Jina tu TAMU... ila nyie wapenda majina mgumu magumu sijui ya babu zenu sijui nani Yarembeni bhasi kidogo kama mwenzenu Beautiful Nkosazana yani japo hilo la mbele sijalielewa ila kalitia swaga kidogo AU huyu anajiita Baby Mwai ....yani swag juu ya swag...Angejiita Mwai aone.

Kuna wale wagumu kuelewa Kwanza Profile zao wameweka masura meusi yasio na ushawishi mfano huyu kiongozi wa kutuita mafurushi Atoto yani sura jeusiiiiii kama King Kong III bwana... huyu mwingine nae sielewagi Profile yake nageuzaga hii PC yangu style zote labda ntaelewa ila nimeshndwa elewa Mzigua90..kuna jimama sjui jimwanamke anajiita eti hii sasa kali hhivi kweli kwa jina hilo mi nakusevuje kwenye simu yangu??

Jamani mnachotutafutia ni kuonekana wanaume wa JF ni mashoga..hivi kweli mimi nachati na mtu namuita baby ila nimemsave Khantwe mtu akiona si atajua hili jamaa linachati na mwanaume mwenzake..Aseeeeee badilisheni majina hayooooo..

Seriously mdada mrembo figure matata sauti mwororo unajiita mahondaw au corasco au gilldenu hivi mko serious?

Na nyie mnaoweka sura za waume zenu sijui babu zenu na angali mnazijua ni ngumu kama soksi za Magu muache....

Ebu mfateni mwenzenu Beauty au Cute lee wawaambie siri yao...Acheni kujitia wagumu ebu...
Haki nimecheka.
Nimetamani kujua umetumia muda gani kuandika hii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom