Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

halafu humu jf kumejaa vibibi.
yaani ni vizee!

natania tu..
Mwingine
huyu hapa atoto hakuna mkuki uliobakia
 
wadada wa JF wanatumia Avatar za mabinti warembo wakati kiuhalisia duh......kama wanabisha waweke picha zao hapa....
 
Sina dukuduku
Eeh nimekumbuka mwambieni Marianah aache kuwatetea ata kweny ujinga wenu aache kuwa feminist
 
Unajua ukishanyea mahali unakuwa umeizoea kama takataka huyu mtu ananitafuta sana ila hajui kwamba humu halipwi wala hapewi posho so sina time na watu ambao wanamuda yeye anamuda mcheki hata akili yake inamtosha yeye sina muda na wenye nguvu za kupigana mimi ni mtu ambaye naona mbali na mbali kwenyewe ni hivi ukijibizana sana na zoba utakuwa zoba so achana na watu walionamuda wa nyenye.

Ila kwa upande mwingine kwangu mimi sipendi mazoea nayeye nakama bado ananitafuta woi mimi ni mmasai siogopi kitu tunaendeleza tu na vita vile vile tena plus mmeru tunazichapa tu .
 
Shiiii nnare... Mmeru +mmasai kweli hii combination ni hatari unaonekana ni mkali Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…