Duh! Tui la Nazi?Hakikaaa....huyo kijana hajakutana na vyombo vya humu,binafsi nakubali kuna watoto kama wanne humu wanaogea tui la nazi[emoji23][emoji1787]
Nina usingizi naenda kulala kesho niwahi kuamka kazini mamy
Nimefunga shemela labda tsap
Hahahah sijui wanafananajeDuh! Tui la Nazi?
Ikawaje bro Jr akapagawa ? Nasikia sasa hivi hata motuary kwa wafu kawasusa..[emoji23][emoji23]Mm hapa mmojawapo Mbilikimo hadzabee origina
Kabisaa shemela ila itakuwa siri tukutane pm hapa wanga wengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Roho mbaya hio.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah the power of makeup namwachia nan?
Uko sahihi ..Na wasisahau kuandika aina za sentensi kama vile
1.Sentensi mwambatano
2.Sentensi Sahili
3.Sentensi shurutia
4.Sentensi changamano
Sijui nipo Sawa au nimetumia vishazi tegemezi?
Ngoja nigoogle huenda nikapata mfanano wa tui la NaziHahahah sijui wanafananaje
Dah..!! Shahidi kuona nisha ona..[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa shemela ila itakuwa siri tukutane pm hapa wanga wengi
Usijali[emoji12] [emoji12]Hahaha Hahahaha akikusaidia usisahau kunipa lift hahahah
Hapo Dom unapafahamu waswanu uzunguni ? Pakoje ?Hahahaha unakiuka masharti ujue
Fungueni pm mmeambiwaNakazia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta. Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu...www.jamiiforums.com
1. Sentensi ambatano.Na wasisahau kuandika aina za sentensi kama vile
1.Sentensi mwambatano
2.Sentensi Sahili
3.Sentensi shurutia
4.Sentensi changamano
Sijui nipo Sawa au nimetumia vishazi tegemezi?
[emoji85][emoji85][emoji85]Aisee
Huendi mbinguni
Pako poa sana kuliko hata Pestana.Hapo Dom unapafahamu waswanu uzunguni ? Pakoje ?