Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

duh kweli kumbukumbu muhimu unapokuwa na maneno mengi
ha ha ha ha ha ha
 
Lol.
Itakua umetongoza wengi basi.
 
Mchafu anatafuna/tafunwa na wachaafu wenzie.
Bado sio vizuri kumsema vibaya mwanamke uliekatafuna nyuma yake bali pia ni kuwaumiza hao wanawake kwa kuwaita wachafu.
Yaaani wadada wa humu 6 Kati 8 niliokutana nao ni masingle mama,Nimetafuna wa3 tu japo ni wachafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…