Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
duh kweli kumbukumbu muhimu unapokuwa na maneno mengi
ha ha ha ha ha ha
 
Lol.
Itakua umetongoza wengi basi.
Nini maana ya asilimia kubwa? hao wazuri ambao wewe unawafahamu ni asilimia chache, ila asilimia Kubwa ni Wabaya haswa, siku hizi wadada wa JF siwatongozi maana humu jukwaani atakuwa bonge la mjanja na uta imagine kuwa ni mzuri kinoma ila kutana naye sasa utakimbia!
 
Mchafu anatafuna/tafunwa na wachaafu wenzie.
Bado sio vizuri kumsema vibaya mwanamke uliekatafuna nyuma yake bali pia ni kuwaumiza hao wanawake kwa kuwaita wachafu.
Yaaani wadada wa humu 6 Kati 8 niliokutana nao ni masingle mama,Nimetafuna wa3 tu japo ni wachafu
 
Back
Top Bottom