Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"


Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
Leo naona wadada mnatoa location zenu tuu, genye hazijawahi kuacha mtu salama.

BTW are u available?
 
Hahaha hahaha Khan poleeee Pele limepata mkunaji

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninunulie kiwanja nataka kujenga

Hapo vipi?
Wapunguze kutangaza shida za kijinga, mara ohh naomba ninulie mihogo, si upande bustani ya mihogo uwe unavuna tu. Tangaza shida yenye maslahi mapana na maisha yako sio ujinga ujinga.
 
Mamy wewe kafukue makaburi yake utapata jb ndege wanaofanana huruka pamoja hahahaaaaaaaaa
Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
 
Back
Top Bottom