Wanaume wa Jf tukutane hapa.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Katika pita pita zangu humu nimekutana na uzi wa Wanawake wa Jf wakutane .

Sasa na mimi nimeona siyo Vibaya na wanaume tukakutana kwenye Uzi wetu dhumuni ni kujadili;
____ Maujanja ya kusaka pesa,
____Changamoto katika kazi ,
____ Mbinu za kuwala watoto wakali.

Na mengine mengi kama wanaume wa Jf maana kwenye uzi wao wale mademu wanatunanga sana.


Karibuni sana wanaume wenzangu wa Jf...!
 
Pale kwenye neno "siyo vyema"... ondoa na badala yake weka neno "si vibaya"...,
 
kutafta hela mazee ni kupga kaz kwa juhudi...kujua unataka maisha ya aina gani...kunapelekea kuweka mikakati madhubuti.....kupata wadada be humble.pochi ickauke..tengeneza body....cha mwisho ambacho huwa ni silaha inayofanya hela ustumie xana kwa wanawake..na ni deadly weapon....ntaitupia humu mda so mrefu
 
itupie mkuu
 
Maujanja ya pesa yako kibao ishu inakuja pakuanzia yaani capital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…