Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Njia ni moja tu.
1.Ukitaka kuzitafuta pesa piga kazi kwa bidii bila kukata tamaa.
2.Achana na mambo ya kuhonga wanawake
Kusaka Pesa+Kuhonga=Zero.
1.Ukitaka kuzitafuta pesa piga kazi kwa bidii bila kukata tamaa.
2.Achana na mambo ya kuhonga wanawake
Kusaka Pesa+Kuhonga=Zero.