Wanaume wa Jf tukutane hapa.

Njia ni moja tu.
1.Ukitaka kuzitafuta pesa piga kazi kwa bidii bila kukata tamaa.
2.Achana na mambo ya kuhonga wanawake

Kusaka Pesa+Kuhonga=Zero.
 
Mkipata hizo pesa ndo mtutafute sasa[emoji6] [emoji6]
Ningekuwa na uwezo hii comment yako ningeifuta hadi kwenye server za jf.....

Mtu anatafuta hela week nzima halafu hela anaenda kuitumia siku moja tu na demu
 
Ningekuwa na uwezo hii comment yako ningeifuta hadi kwenye server za jf.....

Mtu anatafuta hela week nzima halafu hela anaenda kuitumia siku moja tu na demu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hiyo Noma sana
 
Naona uzi umedora sana kuliko uzi wa wanawake wa jf
 
Soon Nakinukisha nitaujaza mpakaa
 
Kuwala watoto wa kali uwe na ''shekeli'' alafu uwe mkali wa swaga na ''stanza'' ukijumlisha na ''ndele'' kwa mbaali......
 
Kuwala watoto wa kali uwe na ''shekeli'' alafu uwe mkali wa swaga na ''stanza'' ukijumlisha na ''ndele'' kwa mbaali......
Kwa hiyo huo ndio mtego wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…