Wanaume wa JF tuna nini lakini

Wanaume wa JF tuna nini lakini

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
583
Reaction score
590
Hivi kwanin thread nyingi humu ni za kuwaponda wanawake? Mara ooh wana iq ndogo mara oooh mnaoMBA omba hamuolewi yani hadi unajisikia huruma me ssijawahi kugundua ila jana nlikua nimekua na rafiki angu mmoja wa kike huku tunaa anglia tu nini kimejiri mtandaoni basi akashangaa sana kunikuta nina Acc Jf akasema kamwe hawezi kufungua Acc humu sababu humu ni mtandao wa ku ponda na kutukana wanawake. NiliBisha kidogo akanifungulia thread kama 10 akasoma moja moja hadi nikaona aibu. Mods shughulikieni hili...hatuwezi kuishi hivi wakuu.

Update.
Ukitaka kujua identity ya anaekutukana ni-pm kwa wanawake tu lakini... heheheheeh
 
Tumegundua janja zako,unajifanya unawatetea kumbe ndo janja zako ili wakuonee huruma na ww uanze ligi
mkuu me mbona sina hata mawazo hayo
 
Mkuu hivi wewe mgeni tunabadilishiwa majina kila siku na haohao unaowasema

Mara viba100, Mara kitandani zero , Mara mhogo mkubwa matumizi zero , Mara tunabwabwaja bwabwaja tuuuuu

Hayo sijui unafurahia Luna wanawake wanamajibu humu waweza kinaiwa kula siku saba

Lkn me na ke ni utani wa jadi kupondana lzm

Sijui umekua lini sisi tulipotaka kumtongoza mwanamke unatukana na kumshushua KBS mpaka anakuogopa harafu unatupa ndoano unamuopoa kilaini

Ukienda ka zuzu humpati labda wa ck hizi

Teh
 
Na wewe nani aliekwambia utuwekee kitambi chako kwenye avatar
 
wew ndo msemaji wao? kwanini na wewe hukumuonesha threads zao wanazoponda wanaume wenye vitambi, viba100, wenye vitz, wasio na pesa, wasio honga..na mengine mengi tu ya kuudhi, huyo dem hana acc huku hizo threads anazionaje? mnazingua wewe na dem wako
 
Na wewe ungemfungulia sredi za kuponda wanaume..Huyo rafiki yako naye anacatch mafeeling fasta..Humu sio wote wanaoingia na akili zao zote..Sio kila kitu cha kuchukulia serious..
 
Mtu kama huna tabia zinazopondwa kinakuudhi nini,na istoshe hata kama unazo si ndo utakua umejifunza na ukajirekebisha,Wallah nilivyomgumu na waseme tu.
 
Ukitaka kujua identity ya anaekutukana ni-pm kwa wanawake tu lakini... heheheheeh
Hata kama vyuma vimekaza lakini principle ya utamu hulipiwa inabaki pale pale!
 
Aisee...!?

Kwani yeye kufungua acc huku kunaiongezea nini Jf na asipofungua kunaipunguzia nini Jf?

Bazawei, majukwaa yako mengi. Achague panapomfaa kulingana na matakwa yake.
 
Back
Top Bottom