Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #221
Siwekitafadhali usiiweke hapa
Huyo wa juu mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio type unazopenda hizi Mama Sabrina
Hata wa chini inawezekana akawa unajisikiaje kulala na mwanaume anekuzid uzuriHuyo wa juu mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
NapendaHata wa chini inawezekana akawa unajisikiaje kulala na mwanaume anekuzid uzuri
Mpaka hpo we una sura mbaya unadhani tutaelewa kinyume wewe ni mbaya
Wewe bwana. Mi hamna shughuli inayozidi pesa.Sasa umeanza kutuchanganya labda,
Mimi ulinambia kwa shughuli ile hutaki hata senti.
Mi kabaya sana tu ndio maana sikataiMpaka hpo we una sura mbaya unadhani tutaelewa kinyume wewe ni mbaya
Offer siku ya kwanza tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi muwe mnatupa hata ofa siku moja moja ili tusikope
Apia?Mi staki chura bwana.
Wewe jibu tu swali
Wewe hapo.Hivi bado unanizungumzia mimi au mtu mwingine? Maana hata chat zako za shukurani ninazo
AminaKwani kuna tatizo au ,ukinisanifu unaniongezea muda wa kuishi,,hebu furahi leo siku ya wapendanao
Karibu tena usirudie kutaja majina ya watu ni name calling utalimwa ban,huoni mods wamefuta post yakoAmina
Wenzako wanatupenda hivyohivyo na pesa zetu shwainMmezidii nyie mnatisha kweli,kiukweli wanawake tuna roho za uvumilivu kweli ,,nimeona kesho mbalii
Kweni unatujua wote tulivyo?njoo na namba simu yako pm niku whatsappWakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi