Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

354e22919ab66f4729499d340b764606.jpg


Ndio type unazopenda hizi Mama Sabrina

88c05b4c6b525b1c97dcfef0f2c153d2.jpg
 
Mama sabrina, umeamua kumaliza kabisa, si ubakishe na ya siku nyingine, wadada wataogopa kukutana na wakaka wasiowafahamu kwa mara ya kwanza.
 
Mi nilisikiaga wanawake wa mjini wanadai mwanaume mashine, sasa huyu mama sabrina anaforce uzuri Kwa mwanaume!!
Kiukweli kama wewe Mama sabrina ni mbaya utakimbiwa tuu hakuna namna mwanamke ni pambo, dizaini ya Ua, pole sana.
 
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao


Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Kweni unatujua wote tulivyo?njoo na namba simu yako pm niku whatsapp

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Back
Top Bottom