Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abeeeh
We ni nani hapo kati ya waliotajwa etinipooooooo
Dada kungfu yako ya baridi hii apa nimekuleteaKho kho kho kho
Ongeza na kwangu pia dear
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duuuh alaf huyo priceless soul wako kila mkichat munaturusha rohooo tuuuu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Rafiki jana chura imefanikiwa kuzinduliwa?[emoji125][emoji125][emoji125]Hamna shida.
UNATAKA KUBEMENDWA MPWAA SOMA NYAKATI MASUGAR MUMY WAMESHAMALIZIKA WAMEBAKI MA SUGAR DADY..SUBIRI VYA KUPEWAWakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Haya Kheri.Hamna shida.
Ulikuwa wapi wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni mwanamke huyoWe ni nani hapo kati ya waliotajwa eti
Malcom upo wapi juu au chini kwa hamo? Achana na hayo engine usijichosheKwa hiyo wewe Mama Sabrina umeona Harmorapa ndiyo SI Unit ya Ubaya hapa Bongo ???
Umeshawahi kuzaa watoto ???, hapa hutukani mtu kwasababu wengi huwajui sura zao lakini umemdhalilisha sana huyo jamaa Harmorapa! (It's not good mkuu) . Wewe ni mtoto wa kike unaweza kuzaa watoto siku za mbeleni(Ni ushauri tu)
Priceless soul hamumuwezi huyu ndio kanikamata sijiweziDuuuh alaf huyo priceless soul wako kila mkichat munaturusha rohooo tuuuu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nawapenda watu wapole kama nyieHaya bana we tuseme tu na masura yetu. Poa tuu one day yes...