Wanaume wa Jf walivyo!...

Yaani mtu ukijijua una sura kama ya marehem Rwmmy ongala, usijisumbue kufanya miadi na mtu wa humu jf, maana mwishowe unaweza jichukia bure na kumbe kwa wengine wewe ni bonge la mrembo au handsome
 
Sawa, ila sitaki kuamini kuwa wote wakohivyo
 
Sawa mama ila Mimi nakubali nna sura mbaya kuliko wote humu,
Sitarudi nyuma kwenye swala la kumtaka mwanamke mzuri kama wewe kisa sura yangu .

Inaonekana we mzuri sana kama beyonce ndo mana jigga haishi kuvisit jf kama mgeni
Tupia basi na picha yako ili sisi wenye sura mbaya tuumie na mbavu zetu kwakuwa na malaika wa kike asiyekunya wala kukojoa mwenye kujamba marashi mazuri ya karafuu na udi.

"by mimi Mwendawazimu!
 
Unaonekana ushakutana nao wengi sana eee... Kwaiyo unataka wanaume wote wa jf wakugon.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…