sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,723
- 4,286
Yaani mtu ukijijua una sura kama ya marehem Rwmmy ongala, usijisumbue kufanya miadi na mtu wa humu jf, maana mwishowe unaweza jichukia bure na kumbe kwa wengine wewe ni bonge la mrembo au handsomeNa naona hakuna mwenye kuvumilia kubaki kimya, niliona uzi moja jamaa eti alijizuia wee akashindwa ikabidi aandike tu uzi hahaha
Sisi wengine na hizi sura zetu plus ufupi na weusi huu si tutatengwa kabisa humu jamani [emoji17][emoji17][emoji17]
Sitaki mimi