Wanaume wa Jf walivyo!...

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee leo umenikumbushaaa mbali ukikutana na mwanaume yuko tofaut na comment zakee lazima utoke nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]unaacha vumbiii
Ahahahahahahahahhaahha huu uzi umefanya nikampata G lo siusahai
 
kwa upo JF kusaka wanaume utofauti wako na makahaba wa sinza ni upi haswa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akasemaaa ngoja nikuonyeshe uhandsome wangu ulipooo Mama sabrina
Yaan na kweli ni boge la hB halaf ana body kama la ulimwengu Mungu anipe nini mimi jamanii ,alinionyesha kaziii mpaka nimetia adabu
 
Kwahiyo huu uzi ndio ulipompatia G!!! Ngoja nami nikafungue uzi wa kuwachamba nimpate E.
Huwezi amini alinifata pm na kulalamika "Mama Sabrina nakataaa hatufanani na hamorapa "nikamuambia nikuone sasa akanirushia picha nikasema we unafaa mara tukabadlishana namna ,mara siku zikapita zikaanza simu napigiwa nikamuambia piga kwa whatsapp call tu my dia,mara naulizwa zawadi,mara papp tukazamaa "Mama sabrina nakupendaa"nadhani alianza kunipenda zamani tu maana alikuwa akiingia humu cha kwanza kutafuta nyuzi asome acheke mara anyegeke
Nawe jitahidi utapataa uache mmeo au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…