DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Duuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahahahahhaahha huu uzi umefanya nikampata G lo siusahai[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee leo umenikumbushaaa mbali ukikutana na mwanaume yuko tofaut na comment zakee lazima utoke nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]unaacha vumbiii
Hahahahaha furahia mama maisha mafupiMama sabrina shenzi wewe, nimecheka jamani, sikutegemea kukutana na hiyo picha ya chini baada ya kuona picha ya juu.
Jolie Ulimwengu ni chombo ila hamfikii mme wangu,halaf Hazard fanya basi iwe ukwelii jamoniiHuyu dkt ulimwengu ni wa kawaida sana,Mama sabrina ningekua nakuamini ningekuonesha hazard wangu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akasemaaa ngoja nikuonyeshe uhandsome wangu ulipooo Mama sabrinaAhahahahahahahahhaahha huu uzi umefanya nikampata G lo siusahai
Yaan na kweli ni boge la hB halaf ana body kama la ulimwengu Mungu anipe nini mimi jamanii ,alinionyesha kaziii mpaka nimetia adabu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akasemaaa ngoja nikuonyeshe uhandsome wangu ulipooo Mama sabrina
Yan hapa jf kuna wanaume mahb sijapata kuonaaa wapo kimyaaaaaaYaan na kweli ni boge la hB halaf ana body kama la ulimwengu Mungu anipe nini mimi jamanii ,alinionyesha kaziii mpaka nimetia adabu
Kwahiyo huu uzi ndio ulipompatia G!!! Ngoja nami nikafungue uzi wa kuwachamba nimpate E.Ahahahahahahahahhaahha huu uzi umefanya nikampata G lo siusahai
EeeeHuyu dkt ulimwengu ni wa kawaida sana,Mama sabrina ningekua nakuamini ningekuonesha hazard wangu
Sijui ilikuwaje sikuuona huu uzi, kwahiyo G na ulimwengu nani zaidi?Hahahahaha furahia mama maisha mafupi
We unafanana na nani kati ya hizo picha?kwa upo JF kusaka wanaume utofauti wako na makahaba wa sinza ni upi haswa
Huwezi amini alinifata pm na kulalamika "Mama Sabrina nakataaa hatufanani na hamorapa "nikamuambia nikuone sasa akanirushia picha nikasema we unafaa mara tukabadlishana namna ,mara siku zikapita zikaanza simu napigiwa nikamuambia piga kwa whatsapp call tu my dia,mara naulizwa zawadi,mara papp tukazamaa "Mama sabrina nakupendaa"nadhani alianza kunipenda zamani tu maana alikuwa akiingia humu cha kwanza kutafuta nyuzi asome acheke mara anyegekeKwahiyo huu uzi ndio ulipompatia G!!! Ngoja nami nikafungue uzi wa kuwachamba nimpate E.
Yes halaf nimegundua wenye navyo huwa kimya sana maana wamejaaliwa kila kituYan hapa jf kuna wanaume mahb sijapata kuonaaa wapo kimyaaaaaa
Shemeji, here I amEspy Heaven Sent yuko wapi ???
Nimefika ma'
Yani mwambie nimemmiss hadi naumwa. Leo ijumaa akanyanyue miguu juu bar kama pakaYupo kabisaaa, Salama Salmini.
Ooh Hallelujah Hallelujah,Shemeji, here I am