Wanaume wa Jf walivyo!...

Sijui ilikuwaje sikuuona huu uzi, kwahiyo G na ulimwengu nani zaidi?
OOoh G anamzidi japo mabody yanafanana lakin G wangu ni the best,we si unaona siku hizi nimepunguza kelele nimetulizwa mama
 
Ooh kumbeee!!
 
Sijui ilinipitaje hii .....jaman kuna mwanaume mmoja humu jf nilimwona jamani jaman jaman haha ha ha ....yaani ile kuona tu picha yake WhatsApp nilimblock mazimaaaa ...yaan hamorapa hajambo daaaah hapana kwa kweli.



Ila sio wote me nimewaona kama watano au sita wawili ndo walikua waajabu ....wanisamehe tu
 
OOoh G anamzidi japo mabody yanafanana lakin G wangu ni the best,we si unaona siku hizi nimepunguza kelele nimetulizwa mama
Lazima useme yeye ni zaidi bwana, mwamba ngoma......[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Kwel umetulizwa, hadi ukagoma kuniambia ile "bahati yangu" ilihusu nini!! Nimekununia[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulijuaje kama ni yeye ungeuliza kwanza
Umenichekeshaaa cc Demiss
 
Hahahaa!! Atakuwa anafanana na G[emoji85] [emoji85]
Thubutuuu sifa za G
Haropoki hovyo
Mkarimu
Anavutia
Ana roho nzuri sana
Anajua kut...(hapa sasa hata mkiniibia simuachiii)
Anajua kuisaka pesa vilivyo
Huyo akajipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…