Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Sijui ilikuwaje sikuuona huu uzi, kwahiyo G na ulimwengu nani zaidi?
OOoh G anamzidi japo mabody yanafanana lakin G wangu ni the best,we si unaona siku hizi nimepunguza kelele nimetulizwa mama
 
Huwezi amini alinifata pm na kulalamika "Mama Sabrina nakataaa hatufanani na hamorapa "nikamuambia nikuone sasa akanirushia picha nikasema we unafaa mara tukabadlishana namna ,mara siku zikapita zikaanza simu napigiwa nikamuambia piga kwa whatsapp call tu my dia,mara naulizwa zawadi,mara papp tukazamaa "Mama sabrina nakupendaa"nadhani alianza kunipenda zamani tu maana alikuwa akiingia humu cha kwanza kutafuta nyuzi asome acheke mara anyegeke
Nawe jitahidi utapataa uache mmeo au??
Ooh kumbeee!!
 
Sijui ilinipitaje hii .....jaman kuna mwanaume mmoja humu jf nilimwona jamani jaman jaman haha ha ha ....yaani ile kuona tu picha yake WhatsApp nilimblock mazimaaaa ...yaan hamorapa hajambo daaaah hapana kwa kweli.

Ila sio wote me nimewaona kama watano au sita wawili ndo walikua waajabu ....wanisamehe tu
 
OOoh G anamzidi japo mabody yanafanana lakin G wangu ni the best,we si unaona siku hizi nimepunguza kelele nimetulizwa mama
Lazima useme yeye ni zaidi bwana, mwamba ngoma......[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Kwel umetulizwa, hadi ukagoma kuniambia ile "bahati yangu" ilihusu nini!! Nimekununia[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Sijui ilinipitaje hii .....jaman kuna mwanaume mmoja humu jf nilimwona jamani jaman jaman haha ha ha ....yaani ile kuona tu picha yake WhatsApp nilimblock mazimaaaa ...yaan hamorapa hajambo daaaah hapana kwa kweli.

Ila sio wote me nimewaona kama watano au sita wawili ndo walikua waajabu ....wanisamehe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulijuaje kama ni yeye ungeuliza kwanza
Umenichekeshaaa cc Demiss
 
Hahahaa!! Atakuwa anafanana na G[emoji85] [emoji85]
Thubutuuu sifa za G
Haropoki hovyo
Mkarimu
Anavutia
Ana roho nzuri sana
Anajua kut...(hapa sasa hata mkiniibia simuachiii)
Anajua kuisaka pesa vilivyo
Huyo akajipange
 
Back
Top Bottom