Wanaume wa Jf walivyo!...

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Lazima useme yeye ni zaidi bwana, mwamba ngoma......[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Kwel umetulizwa, hadi ukagoma kuniambia ile "bahati yangu" ilihusu nini!! Nimekununia[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ni zaidi zaidi anavyonijali na kunibembeleza weee sidhan kama kuna mtu humu anabembelezwa kama mimi
Mpenzi usinunee siku hizi nna raha mno mpaka ubuyu nasahau ,halaf G kaniambia niache umbea atanikazaa kihuni mapigo ya kimarekani sasa ndio najifunza kuacha ubuyuu
 
Duh we ni noma ujue umeniwahi tu kuandika hii thread.
Unawajua hawa?
 
Nasubiri tu mualiko mie, nile ubwabwa hadi nivimbiwe. Maana sio kwa kukamatika huko, watu hatupumui kisa G!!
Acha tu nimsifie jamani maisha mafupi sitaki hayupo ndo nimwage sifa,ananipa furaha sana sana
 
Thubutuuu sifa za G
Haropoki hovyo
Mkarimu
Anavutia
Ana roho nzuri sana
Anajua kut...(hapa sasa hata mkiniibia simuachiii)
Anajua kuisaka pesa vilivyo
Huyo akajipange
Mmmmh!!
We mtoto wa kisukuma taratibu kwanza, hizo sifa mbona kama za Daby!!!
 
We ubuyu haina nchi bwana we, G asitufanyie mtimanyongo namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…