Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

pole sana kwa yaliyo kupata.....keep your options open. Kumbe unaagalia uzuri wa sura. Nilidhani ni sisi wanaume pekee tuna angalia uzuri wa sura kwa wanawake kumbe hadi ww(wanawake) na sio show, masculinity,beahaviour maturity,honesty,reality(not pretenders) etc. Ukichagua nazi sana utaangukia koroma. I wonder for sure!
Hilo halina shida hadi utapofanana na mwanao wa kike.
 
Back
Top Bottom