Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #561
Daby ni silent killerHivi wewe na umafia wako wooote wa papuchi umeshindwa kabisaaa kumkoleza mtoto mmoja humu hadi kila uzi,kila comment awe anataja tu daby!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daby ni silent killerHivi wewe na umafia wako wooote wa papuchi umeshindwa kabisaaa kumkoleza mtoto mmoja humu hadi kila uzi,kila comment awe anataja tu daby!!!!
@heaven sent kuna kamjamaa kanakufanya uone wanaume wote rika lako nini?Uje kuchaji kwangu.... Mwanao kakua siku hizi hata hasalimiii
Etiii umekosa mtu wa kumkoleza humu kila saa akawa anakuitaa Daby Daby hata akiongelewa magufuli ye anataja Daby tu
Huyo anapenda pesa kama walletHahahaha lijanja wewe
Mmmmmh!!!!!!!!!!!!Haingiagi huki sana
Ananion sawa na mmewe sijui nni huyo@heaven sent kuna kamjamaa kanakufanya uone wanaume wote rika lako nini?
Niko njiani nakuja kuchaji, acha mlango wazi.
Dot ya nini? Au unafikir mimi ndiye IceUjue naunga dots.
Hiyo avatar ungeondoa tu maana nnavyokujua sivyo ulivyo.Hahahaha lijanja wewe
Tena acha kabisa, hawamtaji ila kawapanga msururu.Daby ni silent killer
Hahaha... Tutaitana inbox mama S.Etiii umekosa mtu wa kumkoleza humu kila saa akawa anakuitaa Daby Daby hata akiongelewa magufuli ye anataja Daby tu
Chizi wewe..... Nionee huruma basi weweKama hapa umetajwa ila kala mwingineee, utashika mapembe hata lini?
Yap mpaka baadae ndo anaingia anasoma tu,kwa mwenzi anaweza post mara mbiliMmmmmh!!!!!!!!!!!!
Nikitajwa kanisingiziaTena acha kabisa, hawamtaji ila kawapanga msururu.
Kaka hii chit chat banaHakika hapo nimekusoma kidogo ila still mwanaume sio sura bali ni mengi ikiwemo kazi. Njoo chuga tuonane ndo utajua mtoto wng wa kike anafanana vipi. Tatizo mnatembea na vijana wadogo(mamas' boys) na no exposure. KUna wanaume wengi humu wako fresh sema uliangukia pua. Alafu ukikutana na mtu wa jf ama mzuri au mbaya kwann uyalete humu, what happens in jf stays in jf n what happens in your meetings stays with you. Otherwise bringing it here inaleta taswira ya immaturity. Ni mtazamo tu! BOYS ARE BORN BUT MEN ARE MADE!
Shikamoo uncle mweehUje kuchaji kwangu.... Mwanao kakua siku hizi hata hasalimiii
Ha ha kuna walimu ndo kichambo chao kikubwa "kisa unatembea na mibaba basi na walimu wa kiume unawaona kama watoto wenzako"@heaven sent kuna kamjamaa kanakufanya uone wanaume wote rika lako nini?
Niko njiani nakuja kuchaji, acha mlango wazi.
Sema kila kona anamkuta anko na vibinti mara majimama hadi kashindwa kukuheshimu tena.Ananion sawa na mmewe sijui nni huyo
Hahahahaha unga mamaUjue naunga dots.