Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #621
Hahahahahahahabro, kuna manzi wengine hata picha hawatumi sasa ukikutana nao unajikuta ww(hb) ni mzuri kuliko yeye sasa dah bora surrender pita hivi.
Mseme naniSi yule wa siku ile ukawa unamsifia. Mapenzi kweli hayafichiki.
Sasa nikufanyeje jamani!!!Sio vizuri lkn
Sina ex humu
Si yuleeee wa siku ileMseme nani
Hukosi la kunifanya wewe mkubwa ujueSasa nikufanyeje jamani!!!
Nawasifiaga wengii tuje,na yule uliekuwa unamsifia amekukosha n.k
Haya njoo nikufanye.Hukosi la kunifanya wewe mkubwa ujue
Nakuja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haya njoo nikufanye.
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Mashine zipooMWANAUME NI MASHINEE! tukubali tukatae.
WapiiSi yuleeee wa siku ile
Utavunjika miguu dogo.Nakuja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
KuleeeWapii
Hapana kabisaa kabisaaa lile lishetaniKuleee
I hope sio vibamia hahahaMashine zipoo
unaumwa[emoji125] [emoji125]Utavunjika miguu dogo.
Whaaaaat!! Basi mie najua ndio yule mwenzio, sema umenichenga hapo pa muda wa kujiunga. Ushetani wake nini tena kipenzi?Hapana kabisaa kabisaaa lile lishetani