Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Na nimepitwa na mengi kweli!! Hadi fudenge kawa lishetani!! Alafu kuna mambo kama siyaelewi elewi hivi!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ndio hivyo mamaa unapoteaga mnoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui ilinipitaje hii .....jaman kuna mwanaume mmoja humu jf nilimwona jamani jaman jaman haha ha ha ....yaani ile kuona tu picha yake WhatsApp nilimblock mazimaaaa ...yaan hamorapa hajambo daaaah hapana kwa kweli.

Ila sio wote me nimewaona kama watano au sita wawili ndo walikua waajabu ....wanisamehe tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbn mm nilikuwa napata mahb tuuuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbn mm nilikuwa napata mahb tuuuu
Una bahati yaani huyo mmoja kama vile jambazi sugu the way alivyo daah hapana kwa kweli ....humu usimwone mtu anaharisha maneno tu ukimkuta utadhani zombie
 
Hahahaaa!!
Kama nakuona unavyokaribia H.Bolt kwa mbio.
Yan nampitaaa kabisaaa huwa natoka mwendo ukikumbuka id yake ina brand kubwaaa comment zakee mashaaalaah threads zakee hoiii unajua kitu ndo hichii kumbe hamorapa mm kiukweli nakimbia tu[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sio vizurii kuwakimbiaa
 
Back
Top Bottom