Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #661
Ahhahaha tena nitazimiaaNa nikikufwa usije kwenye msiba wangu, kaone[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Haahahahh atajitokeza subiriaa ,ni mimi tu ambae sitakiiMungu anakuona.
Ahhahaha tena nitazimiaa
Kaoneee[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Haahahahh atajitokeza subiriaa ,ni mimi tu ambae sitakii
Hahahahaah hivi hujaacha tu manenooYaani nitaamka nikutie boooooonge la singi.
Na hivi unapoteagaa utapitwaaKaoneee[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Na nimepitwa na mengi kweli!! Hadi fudenge kawa lishetani!! Alafu kuna mambo kama siyaelewi elewi hivi!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Na hivi unapoteagaa utapitwaa
Ndio hivyo mamaa unapoteaga mnoo[emoji23][emoji23][emoji23]Na nimepitwa na mengi kweli!! Hadi fudenge kawa lishetani!! Alafu kuna mambo kama siyaelewi elewi hivi!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hahahaaaa!! Sipotei tenaaaa!Ndio hivyo mamaa unapoteaga mnoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaobwabwaja hawana kituu kabisaaaYes halaf nimegundua wenye navyo huwa kimya sana maana wamejaaliwa kila kitu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbn mm nilikuwa napata mahb tuuuuSijui ilinipitaje hii .....jaman kuna mwanaume mmoja humu jf nilimwona jamani jaman jaman haha ha ha ....yaani ile kuona tu picha yake WhatsApp nilimblock mazimaaaa ...yaan hamorapa hajambo daaaah hapana kwa kweli.
Ila sio wote me nimewaona kama watano au sita wawili ndo walikua waajabu ....wanisamehe tu
Una bahati yaani huyo mmoja kama vile jambazi sugu the way alivyo daah hapana kwa kweli ....humu usimwone mtu anaharisha maneno tu ukimkuta utadhani zombie[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbn mm nilikuwa napata mahb tuuuu
Heheeh nicheke tu nimejionea mengiWanaobwabwaja hawana kituu kabisaaa
Hahahaha na uliowakimbia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbn mm nilikuwa napata mahb tuuuu
Hahahahaha utatolewa povuuuUna bahati yaani huyo mmoja kama vile jambazi sugu the way alivyo daah hapana kwa kweli ....humu usimwone mtu anaharisha maneno tu ukimkuta utadhani zombie
Yan nampitaaa kabisaaa huwa natoka mwendo ukikumbuka id yake ina brand kubwaaa comment zakee mashaaalaah threads zakee hoiii unajua kitu ndo hichii kumbe hamorapa mm kiukweli nakimbia tu[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahahaaa!!
Kama nakuona unavyokaribia H.Bolt kwa mbio.
Watoe hilo povu tutafulia nguo ila mmmh balaaaaaaHahahahaha utatolewa povuuu
HahahahWatoe hilo povu tutafulia nguo ila mmmh balaaaaaa
Sio vizurii kuwakimbiaaYan nampitaaa kabisaaa huwa natoka mwendo ukikumbuka id yake ina brand kubwaaa comment zakee mashaaalaah threads zakee hoiii unajua kitu ndo hichii kumbe hamorapa mm kiukweli nakimbia tu[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]