Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi jakuna ambae ashawahi kutongozana na ndugu yake humu kweli!!!
Mm kuna ndugu yangu alitumia acount ya rafk yake kunitongoza alikuwa bonge la mkaka enzi hizo mtoto nipo chuo mwaka wa kwanza nalipaaa chuchu konziii aiseee

Nikaingia lain sku nakutana nayee mweeeh nikajiuliza eeeeh ndugu yangu umekuja kufata nn eeeh alichonijibu niligeuzaaaa kutafuta toyooo

Kumbe alikuwa ananimezea mateee kitambooo
 
Huh!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kabisaa kuna watu wana comment kama vijana kumbe vibabu sasa utakavyokuwa unachat unamwambia mambo sweety rafiki na yy anakubali kumbe anafaaa kupewa shikamooo sku ukimuonaa linakushukaaa shuuuuuu
 
Acha kabisaa kuna watu wana comment kama vijana kumbe vibabu sasa utakavyokuwa unachat unamwambia mambo sweety rafiki na yy anakubali kumbe anafaaa kupewa shikamooo sku ukimuonaa linakushukaaa shuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Id fake zinatufichia mengi kwakweli.
 
Back
Top Bottom