Mm kuna ndugu yangu alitumia acount ya rafk yake kunitongoza alikuwa bonge la mkaka enzi hizo mtoto nipo chuo mwaka wa kwanza nalipaaa chuchu konziii aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi jakuna ambae ashawahi kutongozana na ndugu yake humu kweli!!!
Hahhaaaa!! Yaani na haya mafua mnanichekesha hivi!!!Demiss kichaa
Ushamjua?heheheh mwambie demiss akuambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka jamani!! Uwiii demiss sio mzima
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huh!! Hivi sio yuleeeee[emoji85] [emoji85]
Mungu anisamehe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hurumia mbavu zangu jamani.
Huh!!!!Mm kuna ndugu yangu alitumia acount ya rafk yake kunitongoza alikuwa bonge la mkaka enzi hizo mtoto nipo chuo mwaka wa kwanza nalipaaa chuchu konziii aiseee
Nikaingia lain sku nakutana nayee mweeeh nikajiuliza eeeeh ndugu yangu umekuja kufata nn eeeh alichonijibu niligeuzaaaa kutafuta toyooo
Kumbe alikuwa ananimezea mateee kitambooo
Hahahahaah mwingine nilikutana na Mzeee jaman khaaa ila comment zake kama kijana wa 23 Loooooh yan acheni tuuuuDemiss kichaa
Niambie basi ni nani jamani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]njia gani jaman looohHahaa Sawa ngoja nitakupata kwa njia nyingine
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ahahahahahahahahahahahahahaj
Acha kabisaa kuna watu wana comment kama vijana kumbe vibabu sasa utakavyokuwa unachat unamwambia mambo sweety rafiki na yy anakubali kumbe anafaaa kupewa shikamooo sku ukimuonaa linakushukaaa shuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Demiss unajua mi nimechoka kuchekaa vingine utatusimulia hata keshoHahahahaah mwingine nilikutana na Mzeee jaman khaaa ila comment zake kama kijana wa 23 Loooooh yan acheni tuuuu
Mweee mweeee dada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka jamani!! Uwiii demiss sio mzima
Ila dada avatar yako huwa inaniacha hoiiiHahhaaaa!! Yaani na haya mafua mnanichekesha hivi!!!
Mweeee unataka aendeleee kunitukana maana ukipitia threads zangu lazima ukutee matus yakeeeNiambie basi ni nani jamani
Weekend kesho tutaaamka kuburudikaaDemiss unajua mi nimechoka kuchekaa vingine utatusimulia hata kesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kabisaa kuna watu wana comment kama vijana kumbe vibabu sasa utakavyokuwa unachat unamwambia mambo sweety rafiki na yy anakubali kumbe anafaaa kupewa shikamooo sku ukimuonaa linakushukaaa shuuuuuu
Hahhaaa!! Hata mimi inanichekesha mdogo wangu, we ifurahie tu.Ila dada avatar yako huwa inaniacha hoiii
Mmenichekesha Aki, halafu mmekutana na Demiss na mama sabrina ndo kabsaa! [emoji28]Huyu kaka ashanichosha mimi, navunja undugu. Bora tu awe kaka jirani.