Nitamshawishi. Uzuri Mama Sabrina anapenda safari za vijijini!Poa Mama Sabrina asikose
Ni utani tuMwanaume anasifiwa muonekano? Labda unazungumzia wavulana
Wee nikakukumbuke misiba ya ndugu zanguNitamshawishi. Uzuri Mama Sabrina anapenda safari za vijijini!
Eheheh msipaniki ni utaniUmeshakutana na wangapi Mama Sabrina??
Tusimulie basiHahaha hahaha hahaha umenikumbusha mbali sista
Ha haa haaa sawa mkuu, ila WANAUME wa mikoani ni kazi tuNi utani tu
Nitumie nasubiriaAcha kukejeli wanaume wa jf wewe.Hivi unadhani huyo docta wako ni hb sana?Ebu omba nikutumie picha zangu Alf fananisha na huyo boya wako.
Am super handsome
Hahaha slim unanielewa vizuri wenginr mapovu yatawatokaKwa jini nilivyo, Mama Sabrina atakuwa anasema kweli! Na fanana na mbabe wa Bulaya!
Naona Kumekuchaa Mama Sabrina,
Happy Valentine's day, happy Wednesday ashes
Hapo maana yake mmoja analetwa, basi sawaaaaPoa Mama Sabrina asikose
Hapa JF ni stress free! Mama Sabrina mkuu mshana jr ametualika tumtembelee kilingeni kwake! Mi nimekubali mwaliko! Naomba usintenge!Hahaha slim unanielewa vizuri wenginr mapovu yatawatoka
Wanaume wetu wa mikoani ni boraHa haa haaa sawa mkuu, ila WANAUME wa mikoani ni kazi tu
Hahahaha KelvinKweli wanaume tumeumbwa mateso kila mahali mmatunanga tukiwa dar mnasema wanaume wa dar .
Tukiwa mikoani mnasema wanaume wa mikoani..
Tukizama jf mnatuita wanaume wa jf sasa kuanzia Leo naenda kuishi abroad
Weee sitaki kuota vibaya nenda mwenyeweHapa JF ni stress free! Mama Sabrina mkuu mshana jr ametualika tumtembelee kilingeni kwake! Mi nimekubali mwaliko! Naomba usintenge!
Haaaah. Haaaah. Haaaah. Ameshainstall firewall ya kuzuia ndoto mbaya! NiaminiWeee sitaki kuota vibaya nenda mwenyewe
Mwanyasi siendi ntabaki na weweHapo maana yake mmoja analetwa, basi sawaaaa
Ila mama Sabrina hujawahi kunionaeeHahahaha Kelvin