Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #81
Jomoniiii we najua unamzidi docta ulimwenguIla mama Sabrina hujawahi kunionaee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jomoniiii we najua unamzidi docta ulimwenguIla mama Sabrina hujawahi kunionaee
Ahahahhahahahaha mmmetuchoshaaMama sabrina Mungu anakuona ujue [emoji38]imenibidi nikanunue kioo nijiangalie upya [emoji23][emoji23]
Mi nipeleke bar nikalewe tuHaaaah. Haaaah. Haaaah. Ameshainstall firewall ya kuzuia ndoto mbaya! Niamini
Nani mtoto sasa hapa
Nilijua tu huwezi kuniacha, maana hata mimi nisingeacha uende [emoji12] [emoji12]Mwanyasi siendi ntabaki na wewe
Ndio maana nakupendaNilijua tu huwezi kuniacha, maana hata mimi nisingeacha uende [emoji12] [emoji12]
Bora umekubalii tuMimi nafanana na hamo rapa sema tu hamo ni mweupe kidogo afu mi nna pengo
Mtoto si bebiNani mtoto sasa hapa
KITUUUU GAAAANIII
Piga ulimwengu chini nipe promo mimiJomoniiii we najua unamzidi docta ulimwengu
Ewaaa tukiwa bar, itakuwa pafekti komboMi nipeleke bar nikalewe tu
Kwa JF naongoza kwa sura mbayaaa I betBora umekubalii tu
Mzee wa Tour za Mapango ya AmboniEwaaa tukiwa bar, itakuwa pafekti kombo
Nipe picha nithaminisheePiga ulimwengu chini nipe promo mimi
Kuna watu wanakuzidi huwezi aminiKwa JF naongoza kwa sura mbayaaa I bet
Halaf nakublock muda si mrefu nakuona unanichungulia statusMtoto si bebi