Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Ila hamna wanaume wa kusema wana ubaya huoo bwana. Labda nliowaona mie. Ila hamna mwenye sura ya hamo kwanza wa humu wana ukaka fulani hivi. Hata mtu akiwa sio handsome anakua na personality flani hiviiiii.
 
Kasema ili tukianza kusema ionekane watu walikua wanajua
Screenshot_2018-02-14-07-54-25.png
 
Afu yule uliyuweka sa hivi ana chura balaa. Fanya kufanya # yake tumuwish valentine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koma kuchungulia status zangu we kaka. Halafu nilikwambia sina rafiki asie na chura. Umeamini eeh. Kwanza birthday yake leo fanya jambo tumpeleke hata Great Wall akale dinner basi.
 
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao


Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Je wewe mama sabrina unamvuto au na wewe ni kigagula halafu unataka handsome boy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom