Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Hii imekaaje vile...?Linafanya name calling jinga kweli hilo
Yaani kwamba....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekaaje vile...?Linafanya name calling jinga kweli hilo
Afu yule uliyuweka sa hivi ana chura balaa. Fanya kufanya # yake tumuwish valentineAnapenda kweli status za watu huyo kaka. Ye picha zake hapost Cc saint
Bandika wakuoneeee....... Japo mimi "nakujua"Sijaona. Wametusema. Najitolea kuweka picha yangu. Nimechoka sisi kunyanyaswa kuonekana kama bi kidude.
Puuzi puuzi sijui kapata nini anajua anadhan yeeye ndio anajua wakati watu mmenyamaza tuNdo najiuliza anakuhusishaje na mtu mwingine sasa.
Kasema ili tukianza kusema ionekane watu walikua wanajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koma kuchungulia status zangu we kaka. Halafu nilikwambia sina rafiki asie na chura. Umeamini eeh. Kwanza birthday yake leo fanya jambo tumpeleke hata Great Wall akale dinner basi.Afu yule uliyuweka sa hivi ana chura balaa. Fanya kufanya # yake tumuwish valentine
Umeniona api? Wananijua watano tu sijui sita humu.Bandika wakuoneeee....... Japo mimi "nakujua"
Usinitibue vuzii,tukichambwa wala hawa watu hawatuteteiiIla hamna wanaume wa kusema wana ubaya huoo bwana. Labda nliowaona mie. Ila hamna mwenye sura ya hamo kwanza wa humu wana ukaka fulani hivi. Hata mtu akiwa sio handsome anakua na personality flani hiviiiii.
Kumbe unanikumbukaaIla hamna wanaume wa kusema wana ubaya huoo bwana. Labda nliowaona mie. Ila hamna mwenye sura ya hamo kwanza wa humu wana ukaka fulani hivi. Hata mtu akiwa sio handsome anakua na personality flani hiviiiii.
Kimbelefront.comPuuzi puuzi sijui kapata nini anajua anadhan yeeye ndio anajua wakati watu mmenyamaza tu
Kuhisi hisi tu mwanyasiHii imekaaje vile...?
Yaani kwamba....
Leta helaAfu yule uliyuweka sa hivi ana chura balaa. Fanya kufanya # yake tumuwish valentine
Ukiona hivyo usiquote ,analimwa ban tuKimbelefront.com
Ngoja nitafute kioo kwanza.Upo wapi juu au chini
Je wewe mama sabrina unamvuto au na wewe ni kigagula halafu unataka handsome boy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Khaaah. Hapa wamezidi. Labda hao wanawake zao wanaoenda kukutana nao ndo waajabu hivyo. Nakuunga mkono shoga. Sema picha ya harmo nzuri ungeweka ya Dkt. Remy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinitibue vuzii,tukichambwa wala hawa watu hawatuteteii
Naomba unisifie...Hajaanikwa kaambiwa handsome. Tunasifia vya nyumbani eboo
Anataka watoto wenye chura na rangi za mtume bure bure tu.Leta hela