Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Mimi mmoja wapo,Umeniona api? Wananijua watano tu sijui sita humu.
Ukuje na leo basi, tutakuwa na Mama Sabrina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mmoja wapo,Umeniona api? Wananijua watano tu sijui sita humu.
Naomba kwanza picha ako. Kuna wakaka watatu huku naweza kuwasifia bila hiyana kabisa wakiongozwa na NN.Naomba unisifie...
Si umeona unawatetea umeona sisi tunfanana na huyo dada kweliKhaaah. Hapa wamezidi. Labda hao wanawake zao wanaoenda kukutana nao ndo waajabu hivyo. Nakuunga mkono shoga. Sema picha ya harmo nzuri ungeweka ya Dkt. Remy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pale pale kwa siku zote au?Mimi mmoja wapo,
Ukuje na leo basi, tutakuwa na Mama Sabrina
Usirudie kuwatetea hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bure salam tuAnataka watoto wenye chura na rangi za mtume bure bure tu.
We jifanye unanisahauNaomba kwanza picha ako. Kuna wakaka watatu huku naweza kuwasifia bila hiyana kabisa wakiongozwa na NN.
Mimmimi wala sio muumini wa chura kivile. Na rangi wala sina issue nayo.Anataka watoto wenye chura na rangi za mtume bure bure tu.
Eti mwifwa kweli ni halali,,huyo ni shida na raha aliefanya hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaa.We jifanye unanisahau
K mamamayoooo sasa utapigaje hiyo ishu chura hakunaMimmimi wala sio muumini wa chura kivile. Na rangi wala sina issue nayo.
Mimi mdada akikubaliana na mambo ya shehe basi ataenjoy hapa mjini.
Ukikutana na yoyote huko nipigie pande hata kiwanja utahngwa
Nyooooooookooo. Sitaki dhambi zako zangu mwenyewe zinaanza kunizidi nguvuMimmimi wala sio muumini wa chura kivile. Na rangi wala sina issue nayo.
Mimi mdada akikubaliana na mambo ya shehe basi ataenjoy hapa mjini.
Ukikutana na yoyote huko nipigie pande hata kiwanja utahngwa
Mbona tupo sura ngumuIla hamna wanaume wa kusema wana ubaya huoo bwana. Labda nliowaona mie. Ila hamna mwenye sura ya hamo kwanza wa humu wana ukaka fulani hivi. Hata mtu akiwa sio handsome anakua na personality flani hiviiiii.
Kwakuwa leo tar14 tuende kule kwa siku ya kwanza [emoji12] [emoji12] [emoji12]Pale pale kwa siku zote au?
Embu tuone.Mbona tupo sura ngumu
Wale wachina leo wana package nzuri?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koma kuchungulia status zangu we kaka. Halafu nilikwambia sina rafiki asie na chura. Umeamini eeh. Kwanza birthday yake leo fanya jambo tumpeleke hata Great Wall akale dinner basi.
Ngoja serikali ya mtaa wa mkichwa ikikaa kikao na kutoa maamuzi sahihi ndio utapata mrejesho.Naomba kwanza picha ako. Kuna wakaka watatu huku naweza kuwasifia bila hiyana kabisa wakiongozwa na NN.
Umeacha kukopa lakini? Mi ile siku ulinikera sana mtu unakopa mpaka papuchi jamani.Kwakuwa leo tar14 tuende kule kwa siku ya kwanza [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nitakunyoaaa, mwache alitibueeUsinitibue vuzii,tukichambwa wala hawa watu hawatuteteii