Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Nyooooooookooo. Sitaki dhambi zako zangu mwenyewe zinaanza kunizidi nguvu
Screenshot_2018-02-14-08-06-07.png
huyu kaka si alishawah jirusha jamani ila ni handsome jamani asifiwe maana ataniua pm
 
Ngoja serikali ya mtaa wa mkichwa ikikaa kikao na kutoa maamuzi sahihi ndio utapata mrejesho.
Si unajua tena yule mjumbe anayefanya mambo involuntary anapenda kutibua kikao, sasa nataka nimkalie kooni ili mambo yawe murua kabisa
Haya nasuburiaa.
 
Back
Top Bottom