Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

hahahahah [emoji23]

mkuu we si umetajwa hapo juu?

bila shaka unajipigia mtoto mkaleeeer hunu [emoji23]
hahaa Nyani Ngabu " kesha toa angalizo " kuwa karibia "nusu "na robo ya " madada wa humu " amewala '" so nipo kitako namsubiri" shemeji yako'' anieleze kwa herufi kubwa" asinifiche " aisee"" kama vipi " kesho nipitie hospital" nikaanze sindano" za PEP "" sidhani kama nitkuwa nimechelewa sana aisee"" Nyani Ngabu ndio nini kutaka kutuuwa kwa pressure mkuu ""?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…