Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Yaonesha majamaa kwenye list ndo waongaji sugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashauzii
HahahahahaMwingine japo not reachable siku hizi The boss
Nakubaliana na list yako hakuna pugi hapo....!!!
Hapana ila sio kwa NN tunaheshimiana sanaa!!kuliko watu wanavyodhaniuko singoooooo[emoji102]
Eti eeehh!!NN hana mpinzani
Ni mwendo wa kuishi kwa tahadhari mkuuHahaha nimekuelewa sana hapo
Hakikaaa.Endapo mleta uzi angemuona huyo uliyewahi kumuona live, asingemuacha kwenye orodha yake
Huo Uzi utawapeleka watu wapate suspension kwa muda kidogo!!Nausubiri uzi wa tunaochukiwa yani yale mazombi wasumbufu tusiopendwa vivuruge wa pm
kuuliza muhim sana[emoji23]Hapana ila sio kwa NN tunaheshimiana sanaa!!kuliko watu wanavyodhani
Anaongeza idadi[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbeee
hahaa Nyani Ngabu " kesha toa angalizo " kuwa karibia "nusu "na robo ya " madada wa humu " amewala '" so nipo kitako namsubiri" shemeji yako'' anieleze kwa herufi kubwa" asinifiche " aisee"" kama vipi " kesho nipitie hospital" nikaanze sindano" za PEP "" sidhani kama nitkuwa nimechelewa sana aisee"" Nyani Ngabu ndio nini kutaka kutuuwa kwa pressure mkuu ""?hahahahah [emoji23]
mkuu we si umetajwa hapo juu?
bila shaka unajipigia mtoto mkaleeeer hunu [emoji23]
Ashindweeeee!Hahaha aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha preshahahaa Nyani Ngabu " kesha toa angalizo " kuwa karibia "nusu "na robo ya " madada wa humu " amewala '" so nipo kitako namsubiri" shemeji yako'' anieleze kwa herufi kubwa" asinifiche " aisee"" kama vipi " kesho nipitie hospital" nikaanze sindano" za PEP "" sidhani kama nitkuwa nimechelewa sana aisee"" Nyani Ngabu ndio nini kutaka kutuuwa kwa pressure mkuu ""?
Uliza tu[emoji16][emoji16][emoji16]na majibu yapoookuuliza muhim sana[emoji23]
Tuipongeze keyboard bana na tuendelee kuidumisha ipasavyo[emoji23] [emoji23]Unastahili, huwa hauna makuu kabisa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli watu walikula banHuo Uzi utawapeleka watu wapate suspension kwa muda kidogo!!
Hapa nyuzi za kusifiwa tu!
[emoji16][emoji16][emoji16]shunie jichuraaanamgojea dada angu shunie aniletee CHURA[emoji23]