Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

[emoji16][emoji16]!! Walidhani kujua kiingereza ndio kuwa na akili hawakujua kuwa una kitanda milembe ya USA... Massachusetts mental clinic. Maisha haya! [emoji23] [emoji23]

Wadada muwe makini vichaa na walevi ndio wanaongoza kwa kujua kiingereza! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Stuka watu kama akina mwifa ndio mzuka.

Nimeenda!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahaha hahahaha [emoji2][emoji2][emoji2][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Asee,kumbe ndivyo ilivyo
 
Hahaha, Mkuu mbn km umepanic hivi?
 
Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
 
Safii list nzuri hamna mwenye makuu hapo
 
Nilitarajia unitaje hata ww umenitenga daaaah jaman
 
Okay, here comes sukari yao!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Acha nikaanzishe uzi wa "JF no bodies". Ambao tupo tupo tu, flying under the rader!

[emoji119] [emoji119]
 
Hazard Fc,Sesten Zakazaka nliwasahau jamani ila nawaadmire miandiko yenu mna uanaume fulani hivi nauelewa
Nilikua nasubiri list yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…