Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
Nilimsahau Don clericuzoo...list iko poaaa!!!
 
Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
Nakazia 100%
 
Nakuunga mkono.
 
Okay, here comes sukari yao!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Acha nikaanzishe uzi wa "JF no bodies". Ambao tupo tupo tu, flying under the rader!

[emoji119] [emoji119]
@KANA mtu pekee ninaemiliki namba yake ya simu mule JF.. Sikusoma nae wala sijawahi kumcheck live ni mshkaji wa JF but ni mshkaji naemkubali na kumuelewa.

Siku zote ninakuambiaga una mshumaa tatizo unauwashiaga chini ya Meza... Demiss hawezi kuuona na kukuinclude kwenye hii noble list. You are priceless dude.

[emoji352] always!
 
Last edited:
Back
Top Bottom