[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pugi tenaaSisi tuliobaki ndo mapugi
Vumilia mkuu bado wapo watakuja na list zingineNilitarajia unitaje hata ww umenitenga daaaah jaman
Nilimsahau Don clericuzoo...list iko poaaa!!!Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mapugiSisi tuliobaki ndo mapugi
Nakazia 100%Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
Shukran dada yake kritikaaHazard Fc,Sesten Zakazaka nliwasahau jamani ila nawaadmire miandiko yenu mna uanaume fulani hivi nauelewa
Nakuunga mkono.Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
[emoji23] [emoji23] we jimbape ila beki yangu na kipa najiamini mipira itakua inaishia hewani au itauma nondoo!kumbe hujapaki yutong,, [emoji23] [emoji23] kwa hiyo ni kuwa winga kama mbappeeeeeeeee[emoji23]
Ambao hamjatajwa eti Antonio ahahah hilo neno linanifurahisha sana ,Ray ana maneno sanaSisi tuliobaki ndo mapugi
Hao wengine hata wakinitaja sitakuwa na furaha kama amu angenitaja......Vumilia mkuu bado wapo watakuja na list zingine
Kuwa mpole tu, vigezo na masharti vimezingatiwaSisi tuliobaki ndo mapugi
Mnanivunja mbavuHao wengine hata wakinitaja sitakuwa na furaha kama amu angenitaja......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi tuliobaki ndo mapugi
Mapugi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mapugi
Kwa nini jamani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kulalek tena ukiuanzisha wew ndio balaaaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitarajia unitaje hata ww umenitenga daaaah jaman
@KANA mtu pekee ninaemiliki namba yake ya simu mule JF.. Sikusoma nae wala sijawahi kumcheck live ni mshkaji wa JF but ni mshkaji naemkubali na kumuelewa.Okay, here comes sukari yao!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Acha nikaanzishe uzi wa "JF no bodies". Ambao tupo tupo tu, flying under the rader!
[emoji119] [emoji119]
Kanichekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23]Mapugi [emoji23][emoji23][emoji23]